SUNNA ZA ADHANA Kumesuniwa katika adhana kufanya mambo yafuatayo:- 1. KUELEKEA QIBLAH: Ni sunna kwa muadhini kuelekea Qiblah wakati wa kuadhini, kwa sababu bora ya ... Read More
SOMO LA FIQHI Amesema Mtume ﷺ: [صَلُّوا كَمَا رَأَيْتُمُونِي أُصَلِّي] متفق عليه [Swalini kama munavoniona mimi nikiswali] [Imepokewa na Bukhari na Muslim] Aisha ... Read More
SHARTI ZA KUSIHI ADHANA Ili adhana iweze kusihi na kuzingatiwa kisheria kuwa ni adhana kumeshurutizwa kupatikana sharti zifuatazo:- 1. Muadhini awe ni Muislamu, mwanamume, mwenye akili. ... Read More
SOMO LA FIQHI Mwenye kuswali anaruhusiwa kisheria kufanya baadhi ya mambo akiwa ndani ya swala, kwa sharti kwamba kuwe na dharura ya kufanya hivyo. Anaruhusiwa ... Read More
SOMO LA FIQHI 1. Kufanya jambo linalo pingana na sharti miongoni mwa sharti za swala kama kufanya jambo lenye kutenguwa twahara, au kukusudia kufunguwa uchi, au ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Makruhi kisheria (jambo la kuchukiza) Jawabu: Kisheria Makruhi ni jambo ambalo ukiliwacha unapata Thawabu na ukilifanya hupati Dhambi. Suali: Ni yapi ... Read More
SOMO LA FIQHI Ni kila kisichokuwa ni miongoni mwa masharti ya Swala, au nguzo za Swala au Wajibati za Swala hiyo basi itakuwa ni Sunna,mtu ... Read More
FADHILA ZA ADHANA Zimepokelewa hadithi kadhaa kutoka kwa Mtume wa Allah ﷺ zinazofahamisha fadhila na thawabu kubwa zinazopatikana ndani ya adhana. Miongoni mwa hadithi hizo ni kama ... Read More
SOMO LA FIQHI Swala ni ibada kuu Muhimu, Muislamu katika ibada hiyo anaelelekea kwa moyo wake na mwili wake kwa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka. Hivyo basi ... Read More