Mlango wa kwanza unaambatana na bei (kuuza na kununuwa) na ndani yake yamo Masuala yafuatayo: Suala la Kwanza: Maana ya bei (kuuza na kununuwa) na hukumu ... Read More
Suala la pili: Nguzo za kuuza na kununuwa. Nguzo za kuuza na kununuwa ni tatu 1) Muuzaji na Mnunuzi 2) Bidhaa 3) Kauli kutoka kwa Muuzaji ... Read More
Suala la tatu: Ushahidi katika Kuuza na kununuwa Biashara. Inapendekeza katika uislamu kupatikane ushahidi katika kuuza na kununuwa wala si lazima, kwa mujibu wa neno lake ... Read More
Suala la nne: Uamuzi katika biashara. Uamuzi: Kwa kila muuzaji na mnunuzi ana haki ya kufunga mkataba wa Uuzaji au kuvunja huo mkataba. Mbali na hayo ... Read More
Vigawanyo vya uamuzi: Uamuzi una vigawanyo vifuatavyo: Mwanzo: Uamuzi wa mkao (majlis):Nayo ni sehemu ambayo Uuzaji inafanyika, hapa muuzaji na mnunuzi wana uamuzi wa kufanya ... Read More
Begin typing your search above and press return to search.