SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya swala kilugha na kisheria Jawabu: Maana ya Swala kilugha ni: Dua (Maombi) Tukuiangalia Qur’ani Tukufu tutalikuta neno swala limetumika ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Nipi hukumu ya swala tano? Jawabu: Swala tano ni wajibu kwa kila Muislamu, kulingana na mafundisho ya Qur’ani, na Sunna na Ijmaa ya ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni zipi Fadhla za Swala? Jawabu: Swala ina Fadhla nyingi Miongoni mwa fadhla zake ni hizi: 1. Swala ni nuru kwa mwenye kuswali. ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni ipi hukmu ya mwenye kuacha swala? Jawabu: Hukumu ya mwenye kuacha Swala inategemea na namna anvyo itakidi juu ya swala na hii ... Read More
SOMO LA FIQHI Swala za fardhi ambazo Muislamu amefaradhiwa na Mola wake kuziswali kila siku, mchana na usiku ni swala tano. Kila moja miongoni mwa ... Read More
SOMO LA FIQHI Sharti tunazozikusudia hapa ni zile sharti za kusihi Swala. Kwanza kabisa tufahamishe Maana ya sharti : Sharti ya kitu ni lile jambo ... Read More
MASHARTI YA KUWAJIBIKA KUSWALI Swala imemuwajibikia kila Muislamu aliyebaleghe (mkubwa) mwenye akili timamu. Zitakapopatikana na kutimia kwa mtu sifa tatu hizi:- 1. Uislamu. 2. Kufikia ... Read More
SOMO LA FIQHI Suala: Ni Maana ya nguzo.? Jawabu: Nguzo ya kitu ni ile sehemu ya msingi ya kitu hicho kama vile kuta, na msingi katika nyumba. ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Nguzo za Swala ni ngapi? Jawabu: Nguzo za Swala ni 14 nazo ni kama zifuatavyo: 1. Kutia Nia Na nia Mahala pake ni moyoni ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni zipi waajibati za Swala? Jawabu: Ni lile jambalo ambalo ni wajibu kulifanya au kusema katika Swala,na lau mtu ataacha kwa kukusudia basi ... Read More