SIJIDA YA SAHAU NA SABABU ZAKE Maelezo kuhusu sijida ya kusahau Sijida ya sahau Ni sijida mbili ambzo mwenye kuswali anasujudu ili kuungaunga kasoro iliyopatikana ... Read More
SOMO LA FIQHI HUKMU YA SWALA YA JAMAA Sheria imeamrisha Swala ya jamaa kwa wanaume wanaoweza na imemuonya mwenye kuiwacha. Na Mtume ﷺ alidhamiria kuwachoma ... Read More
SOMO LA FIQHI ANAYESTAHIKI ZAIDI UIMAMU KWA MPANGILIO: Kwanza: Msomi zaidi wa Kitabu cha Mwenyezi Mungu: naye ni aliyekihifadhi zaidi na kuuzifahamu zaidi hukumu zake. Pili: Mjuzi ... Read More
SOMO LA FIQHI KISIMAMO CHA IMAMU NA MAAMUMA KATIKA SWALA 1. Maamuma akiwa mmoja: Sunna ni asimame upande wa kulia wa imamu akiwa amekaribiana naye, kwa ... Read More
SOMO LA FIQHI KISIMAMO CHA MWANAMKE KATIKA SWALA 1. Wanaposwali wanawake kwa jamaa, lililo sunna ni asimame imamu wao kati ya safu yao na asiwatangulie. 2. Mwanamke ... Read More
SOMO LA FIQHI MIONGONI MWA HUKUMU ZA KUMFUATA IMAMU 1. Haisihi kwa mtu aliye nyumbani kwake kumfuata imamu kupitia kusikia sauti yake kwa kipaza sauti au ... Read More
SOMO LA FIQHI KUMTANGULIA IMAMU KATIKA SWALA 1. Amri ya Sheria ni kuwa maamuma amfuate imamu wake kwa kufanya kitendo anachofanya imamu wake papo kwa papo, ... Read More