SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya Twahara ki Lugha na Kisheria ? Jawabu: Utwahara kilugha Kujisafisha na kujitakasa na uchafu Utwahara kisheria Utwahara kutokana na ... Read More
SOMO LA FIQHI Kwanza: Maji Yenye kutwahirisha 1. Maji ya Kawaida: Nayo ni maji ambayo yamebaki katika sifa yaliyoumbiwa nayo, kama maji yanayoteremka kutoka mawinguni, ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya najisi kiluga na kisheria? Jawabu: Maana ya Najisi kilugha Uchafu Na kisheria: Ni Uchafu ambao Sheria imeamuru uondolewe Suali: Ni zipi Sampuli ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Vipi hutahirishwa Ardhi iliyonasika ? Jawabu: Ardhi iliyonasika hutwahirishwa kwa kuiondoa ile najisi au kwa kwa kuimiminia Maji. Kama ilivyo kuja Katika hadithi ... Read More
SOMO LA FIQHI Mwenyezi Mungu Mtukufu ameifanya twahara kuwa ni sheria na kuwafaradhishia waja wake kwa sababu twahara humfanya muislamu aishi maisha ya unadhifu na ... Read More
SOMO LA FIQHI Tukiyaangalia maji kwa kuuzingatia wingi na uchache wake tutayakuta yamegawanyika sehemu/mafungu mawili:- 1. Maji mengi, na 2. Maji machache MAJI MENGI: Haya kwa ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni zipi Aina za Najisi ? Jawabu: Najisi kwa mtazamo wa sheria zimegawanywa katika aina tatu zifuatazo : 1. NAJISI NZITO: Hii ni najisi ... Read More
SOMO LA FIQHI Dini ya uislamu imefunza kila kitu,hakuna jambo kubwa wala dogo ila limeelezewa,na katika yaliofunza ni adabu za kwenda haja,ni mambo gani awajibika ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya Kustanji? Jawabu: Kustanji au Kutamba ni kusafisha na kuondoa najisi iliyotoka katika mojawapo ya tupu (uchi)mbili au zote mbili; ... Read More
SOMO LA FIQHI Suala: Ni nini Maana ya Udhu katika Luga na katika sheria? Jawabu: Udhu katika lugha ni Uzuri na usafi Na Maana ya Udhu katika ... Read More