FADHILA ZA KUTAWADHA Suala: Ni zipi fadhila za kutawadha Jabuwabu: Zimepokelewa hadithi kadhaa kutoka kwa Bwana Mtume ﷺ katika kutaja na kuonyesha ubora na fadhila za udhu. Miongoni mwa ... Read More
MAKOMBO/MABAKI Suali: Makombo ni nini? Jawabu: Makombo ni yanayosalia chomboni baada ya kunywewa. Suali: Ni ipi hukmu ya Makombo? Jawabu: Asili ya makombo ni twahara isipokuwa yale ambayo kuna ... Read More
NAMNA YA KUTAWADHA 1. Kuhudhurisha nia moyoni. 2. Kutaja jina la Mwenyezi Mungu kwa kusema “bismillah” 3. Kuosha vitanga viwili vya mikono (mara tatu) 4. Kupiga mswaki: na mahali ... Read More
SOMO LA FIQHI Maelezo kuhusu Vyombo Wanachuoni wanaeleze hukmu ya kutumia vyombo katika mlango wa Twahara kwa sababu maji ya kutumia katika twahara huwa ya ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya Sunna za maumbile? Jawabu: Sunna za kimaumbile Mambo mazuri ambayo Mwenyezi Mungu aliwaumbia watu nayo, ni ambayo yanamfanya mtu ... Read More
SOMO LA FIQHI Suala: Ni yapi Masharti ya kutawadha? Jawabu: Masharti ya kutawadha ni kama yafuatavyo 1. Maji yawe twahara. 2. Maji yawe yafaa kutumiwa, yasiwe ya ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni zipi Faradhi za udhu? Jawabu: Faradhi za Udhu ni sita 1. Kutia nia. kwa neno lake Mtume ﷺ: [إنَّما الأَعمالُ بالنِّيَّات] ... Read More
SOMO LA FIQHI Suala: Ni zipi Sunna za udhu? Jawabu: Sunna za udhu ni kama zifuatavyo: 1. Kupiga Bismillahi mwanzo wakutawadha, kwa Hadithi iliyopokelewa na Abuu Hurayra ... Read More
SOMO LA FIQHI 1. Kila chenye kutoka kwenye mojawapo ya njia mbili, mfano wa mkojo, choo, upepo (kushuta) kwa neno lake Mwenyezi Mungu : {أو ... Read More
SOMO LA FIQHI Suala: Ni nini Maana ya Makruhi kisheria? Jawabu: Maana ya Makruhi katika Sheria Makruhi ni jambo ambalo ukiliwacha unapata Thawabu, na ukilifanya Hupati Dhambi ... Read More