SOMO LA FIQHI Imesuniwa kutawadha katika hali nyingi, miongoni mwa hali ambazo muislamu amesuniwa atawadhe: 1. Wakati wa kumtaja Mwenyezi Mungu Mtukufu Kwa Hadithi iliopokelewa ... Read More
KUTAWADHA KWA WENYE UDHURU Tunakusudia kusema kwa istilahi (wenye udhuru) wale watu ambao ambao wana maradhi yanayowafanya wasiweze kuuhifadhi udhu wao kama wanavyoweza watu wengine ... Read More
MAELEZO KATIKA KUTAWADHA 1. Muislamu akiinuka kutoka usingizini na akataka kutawadha kwenye chombo, basi asichote humo kwa mikono yake mpaka aioshe mara tatu, kwa kauli yake ... Read More
MAKATAZO KATIKA KUTAWADHA 1. Kuleta nia kwa sauti wakati wa kutawadha. 2. Kutumia maji kwa kupita kiasi. 3. Kuzidisha maosho matatu katika kutawadha, kwa riwaya ... Read More
HEKIMA YA KUOGA JANABA Kuoga katika sheria lina hekima na faida nyingi, miongoni mwa hizo ni kama zifuatazo : 1. Kupata thawabu Hii ni kwa ... Read More
MAMBO YENYE KUWAJIBISHA KUOGA Kuna aina mbili za josho kwa mtazamo wa kisheria Josho wajibu na Josho la sunna. Josho la wajibu :Hili ni lile josho ambalo ... Read More
SOMO LA FIQHI Kuoga janaba kuna namna mbili 1) Josho la Kutosheleza nalo ni lazima kupatikane Mambo mawili A) Kutia Nia ya kuondosha Janaba. B) Kueneza Maji mwili ... Read More
SOMO LA FIQHI Yanayoharamishwa kwa mwenye janaba 1. KUSWALI: Kwa neno lake Mwenyazi Mungu Aliyetukuka: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَقْرَبُوا الصَّلَاةَ وَأَنتُمْ سُكَارَىٰ حَتَّىٰ ... Read More
SOMO LA FIQHI Kuoga kunakopendekezwa 1. KUOGA KWA AJILI YA SWALA YA IJUMAA Kwa kauli ya Mtume ﷺ: [من توضأ، فبها ونعمت، ومن تغسل فالغسل أفضل] ... Read More