SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya Saumu kilugha na kisheria Jawabu: Maana ya Saumu Katika Lugha Ni kujizuia na kujiepusha kufanya jambo fulani. Ama Saumu ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni ipi hukmu ya kufanga? Jawabu: Hukumu ya kufunga saumu Imegawanyika saumu ambayo Mwenyezi Mungu ameiweka katika sheria vigawanyo vifuatavyo: 1. SAUMU YA ... Read More
SOMO LA FIQHI Kwa vile ibada ya Funga ilikuwa ikifanywa na watu wa Ahlul Kitab waliotangulia, na Mtume ﷺ alikuwa akipenda kuzifanya ibada zilizokuwa zikifanywa nao kabla ... Read More
SOMO LA FIQHI Kufunga mwezi wa Ramadhani ni nguzo mojawapo kati ya nguzo za Uislam, na ni lazima kufunga mwezi huu. Mwenyezi Mungu amewalazimisha waja ... Read More
SOMO LA FIQHI Saumu ya Ramadhani ina nguzo mbili za msingi, ambazo kusihi kwa saumu kunazitegemea. Nguzo ya kwanza: Ni kutia nia: nao ni kuazimia kufunga mwezi ... Read More
MAMBO YANAYOFAA KUFANYA IKIWA MTU AMEFUNGA 1. Kuoga, na kukaa mahali penye maji ili kupata baridi. 2. Kumeza mate na makohozi. 3. Kuonja chakula ili kujua kiwango cha ... Read More
MAMBO YANAYOPENDEKEZWA KUFANYWA NDANI YA SAUMU 1. Kula daku na kuchelewesha kula daku hadi karibu sana na kuadhiniwa alfajiri Kwa kauli ya Mtume ﷺ: [تسحروا فإن في ... Read More
MAMBO YANAYOCHUKIZA KWA MTU ALIE FUNGA 1. Kupitisha mpaka katika kusukutuwa na kupandisha maji puani. Na hii ni kwa ajili ya kuhofia maji yasije yakaingia ... Read More
MAMBO YANAYOHARIBU SAUMU 1. Kula na kunywa kwa kukusudia ndani ya mchana wa Ramadhani Kwa kauli ya Mwenyezi Mungu Mtukufu: {وَكُلُوا وَاشْرَبُوا حَتَّى يَتَبَيَّنَ لَكُمُ ... Read More
RUHUSA ZA MTU KULA NDANI YA MWEZI WA RAMADHANI Ruhusa za mtu kula ndani ya mwezi wa Ramadhani 1. UGONJWA Yaruhusiwa kwa mgonjwa kula ndani ... Read More