ELIMU YA MIRATHI Ni msingi unaojulikana katika kutimiza haki ya kila mwenye kustahiki kurithi, kulingana na mafunzo na maadili ya kiislamu. HEKIMA ILIYOTUMIKA KATIKA MIRATHI Mwenyezi Mungu ... Read More
SOMO LA MIRATHI Sababu za kurithi katika sharia ya kiislamu ni tatu kama zifuatazo :- 1. Ndoa : Makusudio yake ni ndoa ilio sahihi kama ilivyo ... Read More
SOMO LA MIRATHI Sharuti za kurithi ni kama zifuatazo : Sharti ya Kwanza: Kua na uhakika wa kifo cha mwenye kurithiwa (mwenye mali) Na maana ya hayo ... Read More
SOMO LA MIRATHI Kama tulivyo elezea sababu na mashari ya mtu kuweza kurithi,pia kuna vizuwizi vya weza kumzuiya mtu kutorithi na viziwizi hivyo ni kama ... Read More
SOMO LA MIRATHI 1. Wenye furudh: Na hao ndio waliotajwa katika Quran, hadith na Ijmaa’i. 2. Aswabat nasabiya: hawa nikila ambae yuko karibu na marehemu ... Read More
SAMPULI ZA KURITHI 1. Fardh:– Hiki ni kiwango kilichotajwa katika Qur’ani, hadith na Ijmaa. 2. Ta’aswib:– Kurithi kilichosalia kwa wenye furudh bila kiwango maalum. 3. Raddi:– Kurudisha mali ... Read More
SOMO LA MIRATHI 1. Mtoto wa kiume 2. Mjukuu 3. Baba 4. Babu 5. Ndugu kwa Baba na Mama (kaka) 6. Ndugu kwa Baba 7. Ndugu kwa Mama 8. Mtoto wa Ndugu kwa ... Read More
SOMO LA MIRATHI 1. Binti 2. Mama 3. Mjukuu wa kike wa mtoto wa kiume 4. Nyanya kwa kizazi (upande wa Mama) 5. Nyanya kwa kizazi (upande wa Baba) 6. Dada ... Read More
SOMO LA MIRATHI Mambo ambayo huzuiya mtu kurithi 1. Mtumwa harithi wala harithiwi, na iwapo amerithi basi vyote alivyo vimiliki ni mali ya Bwana wake. ... Read More
Begin typing your search above and press return to search.