0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

SAMPULI ZA KURITHI

SAMPULI ZA KURITHI

1. Fardh:– Hiki ni kiwango kilichotajwa katika Qur’ani, hadith na Ijmaa.

2. Ta’aswib:– Kurithi kilichosalia kwa wenye furudh bila kiwango maalum.

3. Raddi:– Kurudisha mali kwa mara ya pili kwa wenye furudh na Aswabat.

4. Rahim: Ni baadhi ya watu katika jamii wanaorithi baada ya fardh na Taaswib.

Chanzo:UADILIFU WA MIRATHI NDANI YA UISLAMU 

Manswab Mahsen Abdul RahmaAl-Ridai Al- Jufry Uk 4

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.