June 17, 2021
0 Comments
SOMO LA MIRATHI
1. Mtoto wa kiume
2. Mjukuu
3. Baba
4. Babu
5. Ndugu kwa Baba na Mama (kaka)
6. Ndugu kwa Baba
7. Ndugu kwa Mama
8. Mtoto wa Ndugu kwa Baba na Mama
9. Mtoto wa Ndugu kwa Baba
10. Ami kwa Baba na Mama
11. Ami kwa Baba pekee
12. Mtoto wa Ami kwa Baba na Mama
13. Mtoto wa Ami kwa Baba pekee
14. Mume
15. Mtumwa (wa kiume)
Chanzo:UADILIFU WA MIRATHI NDANI YA UISLAMU
Manswab Mahsen Abdul RahmaAl-Ridai Al- Jufry Uk 5