UISLAMU NI DINI YA MANABII WOTE Sifa zote njema ni zake Allah,Muumba wa mbingu na ardhi,Muumba wa vinavyoonekana na visivyoonekana, Allah ambaye amemtuma Mtume ï·º ... Read More
MUHAMAD ALI CLAY Katika watu Mash’huri walio ongoka na kupata Nuru ya Uislamu ni Muhamad ali Muhammad Ali alizaliwa mwaka 1942 katika mji wa Louisville, ... Read More
HISTORIA YA MAMA AMINAH ASSILMI Waliosilimu wanazo changamoto nyingi na zinazotishia, hivi kwamba asiye na imani kamili aweza kuteteleka na kurudi nyuma. Lakini wale waliojaaliwa ... Read More
KUSILIMU KWA MYAHOODI RABII YOUSEF COHEN Rabii Yousef Cohen alizaliwa Brooklyn, Amerika mwaka wa 1971, alikuwa mfuasi wa satmar, kikundi katika makundi ya kiyahoodi akiitwa ... Read More
HAMZA YUSUF Hamza Yusuf alizaliwa, Mark Hanson, huko Walla Walla, jimbo la Washington Amerika, na baadaye wazazi wake wakahamia jimbo la California na walikuwa wafuasi ... Read More
YUSUF ESTES Skip Estes alizaliwa Ohio mwaka 1944 na kuhamia Texas mwaka 1949. Alikulia katika familia ya Kiprotestant; kama mmoja wa ‘Wanafunzi wa Kristo’ (Disciples ... Read More
YUSUF ISLAM (CAT STEVENS) “Ewe Mungu! Kama ukiniokoa nitafanya kazi kwa ajili yako.” Hapo Cat Stevens alipokuwa bichi (ufukoni) ya Malibu ambapo kuogelea kwake kwa ... Read More
MALCOLM X Malcolm X alizaliwa kama Malcolm Little Mei 19, 1925 huko Omaha, Nebraska. Baba yake, Earl Little alikuwa mchungaji asiyeogopa kusema ukweli, na pia ... Read More
Dkt. Gary Miller Huyu ni mwanahisabati na mwanatheolojia wa kutokea Canada. Alikuwa akijitolea kufanya kazi za kimishenari za Kikristo katika maisha yake lakini akaja kugundua mambo mengi yenye mashaka katika Biblia. Mwaka 1978 ... Read More
Michael Wolfe Pamoja na kuwa Rais na prodyuza mkuu wa mfuko wa Unity Productions, Michael Wolfe (aliyezaliwa 3 Aprili 1945, Marekani) ni mtunzi wa vitabu ... Read More