HISHIMA YA MWANAMKE KATIKA UISLAMU Ndugu katika imani, suala la mwanamke ni suala ambalo liliwashughulisha watu wengi walio pita, na linaendelea kuwashughulisha wengi katika zama ... Read More
HAKI YA MUISLAMU JUU YA MUISLAMU MWENZAKE Uislamu ni dini kubwa imeweka muongozo ambao kwamba inakusanya haki na uwajibikaji, miongoni mwa haki hizo ni haki ... Read More
HAKI ZA JIRANI Kila Muislamu anahitaji kujua jambo ambalo Jibril (A.S) hakuacha kumuusia Mtume ﷺ kuhusu jirani mpaka akadhani ana haki ya kurithi. Jirani ana haki zinapaswa ... Read More
KUAMILIANA NA WASIO KUWA WAISLAMU Dini ya Kislamu imepanga sheria ya kila kitu. Na miongoni mwa sheria hizo, ni sheria ya kuishi na kufungamana na ... Read More
KUHIMIZA KUFANYA KAZI YA HALALI NA KUJIEPUSHA NA HARAMU Nani katika sisi ambaye hataki kuwa na afya njema yeye na familia yake?. Yote hayo yanapatikana ... Read More
KUPEANA NASWAHA Enyi Waislamu ! watukufu! Makala yetu ya leo ni kuhusu maudhui muhimu anayohitaji Muislamu katika maisha yake nayo ni nasaha, na nasaha ni ... Read More
KUWATENDEA WEMA WAZAZI WAWILI Wazazi wawili wanayo haki kubwa kutoka kwa watoto wao, kama walivyo na haki watoto kutoka kwa wazazi wao. Mwenyezi Mungu ﷻ Ameweka wazi kabisa ... Read More
KUUNGA KIZAZI Amesema Mtume Muhammad ﷺ aliyesema [Hatoingia peponi anayewakata jamaa zake]. Na jamaa ya mtu ni mamake, babake, watoto wake na kila ambaye karibu naye kinasaba. ... Read More
ZAKA NA FAIDA YAKE KATIKA JAMII Je, waijua ibada ya kutoa mali yako wewe Muislamu? Je, wajua kwamba ibada hii ukiifanya Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa ... Read More
UMOJA KATIKA UISILAMU SEHEMU YA PILI Tukiendelea na mfululizo wa mazungumzo yetu tulikomea kwenye maneno haya (Kwa hio waislamu ni umma mmoja kwa kuafikiana kwao ... Read More