0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

DARAJA ZA WENYE KUSTAHIKI KURITHI

SOMO LA MIRATHI

1. Wenye furudh: Na hao ndio waliotajwa katika Quran, hadith na Ijmaa’i.

2. Aswabat nasabiya: hawa nikila ambae yuko karibu na marehemu atachukuwa kilicho bakishwa na wenye furudh.

3. Aswabat sababiya: Naye ni mtumwa akiwa mume au mke.

4. Aswabat m’utak: hawa ni jamaa wa mtumwa ikiwa hayupo, basi hawa watarithi mahala pake. 1. Wenye furudh: Na hao ndio waliotajwa katika Quran, hadith na Ijmaa’i.

5. Kurudishwa kwa mali: mali inapozidi basi hurudishiwa wenye furudh, isipokua kwa mume na mke.

6.  Al-arham: jamaa zake maiti.

7. Kurudishwa kwa mali kwa Mume na Mke: kwa kukosekana wenye furudh na aswabat na ar-haam.

8. Wasia aliowacha marehemu.

9. Baitul Maal.


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.