0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

NGUZO ZA KUUZA NA KUNUNUWA

Suala la pili:  Nguzo za kuuza na kununuwa.

Nguzo za kuuza na kununuwa ni tatu

1) Muuzaji na Mnunuzi

2) Bidhaa

3) Kauli kutoka kwa Muuzaji (Ijaab) na Mnunuzi (Qabul) mfano aseme Muuzaji: Nimeuza. Naye Mnunuzi aseme nimenunua.

Mbali na hayo, kuna Kauli ya vitendo mfano wake; Mnunuzi apeane pesa kwa Muuzaji naye apeane bidhaa pasi na mazungumzo kati yao.

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.