SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya zaka kilugha na kisheria Jawabu: Zaka kilugha. Ni kukua kwa kitu na kuzidi. Na Maana ya Zaka kisheria. Ni ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni ipi hikma ya kuwajibisha kutoa Zaka? Jawabu: Hekima ya watu kuwajibika kutoa Zaka ni kama zifuatavyo: 1. Ni kuzisafisha nafsi na kuzitakasa ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni yapi masharti ya mtu kulazimika kutoa zaka? Jawabu: Masharti ya mtu kulazimika kutoa Zaka ni kama ya fuatayo: 1. Uislamu Haikubaliwi Zaka kwa ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya Vinavyotoka kwenye Ardhi Jawabu: Ni Kila kinachotoka ndani ya ardhi, na kinawezekana kunufaika nacho. Na kinachotoka ndani Ardhini ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Madini ni nini? na inamanisha nini ya Hazina iliyozikwa ardhini? Jawabu: Madini ni chochote kinachotolewa ndani ya ardhi ambacho kwamba sio sampuli ya ... Read More
SOMO LA FIQHI Maana ya Dhahabu na Fedha Dhahabu na fedha, na chochote kinachosimamia nafasi ya vitu hivi viwili miongoni mwa pesa za karatasi zinazotumiwa ... Read More
SOMO LA FIQHI Mapambo ya wanawake yako sampuli mbili: Mapambo ya dhahabu na fedha, na mapambo yasiyokuwa ya dhahabu wala fedha. 1. Mapambo ya dhahabu ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya Mali ya biashara? Jawabu: Mali ya biashara ni kila kilichoandaliwa kwa lengo la kuuzwa na kununuliwa ili mtu ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni yapi masharti ya mtu kuwajibika kutoa zaka za mali ya biashara? Jawabu: Masharti ya kulazimika mtu kutoa zaka ya Mali ya biashara. ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni jinsi gani yatatolewa zaka za mali ya biashara? Jawabu: Jinsi ya kutoa zaka ya Mali ya biashara ni kama ifuatavyo: Mali yanapo ... Read More