SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya Mali ya biashara? Jawabu: Mali ya biashara ni kila kilichoandaliwa kwa lengo la kuuzwa na kununuliwa ili mtu ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni yapi masharti ya mtu kuwajibika kutoa zaka za mali ya biashara? Jawabu: Masharti ya kulazimika mtu kutoa zaka ya Mali ya biashara. ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni jinsi gani yatatolewa zaka za mali ya biashara? Jawabu: Jinsi ya kutoa zaka ya Mali ya biashara ni kama ifuatavyo: Mali yanapo ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini maana ya Hisa? Jawabu: Hisa ni sehemu anayolipwa mtu baada ya kupatikana faida katika sehemu zilizo sawa kutokana na raslimali ya ... Read More
SOMO LA FIQHI MAANA YA ZAKA ZA FITRIZaka ya fitriZaka aliyoifaradhisha Mtume ﷺ wakati wa kufungua katika kumalizika kwa mwezi wa Ramadhan. Na imeitwa Zaka ya fitri ... Read More
SOMO LA FIQHI KIWANGO CHA KUTOLEWA ZAKA YA FITRI Pishi moja na [Pishi ni sawa na kilo mbili na gramu arubaini (2.040 grms).]. kwa kila mtu, ... Read More
SOMO LA FIQHI HIKMA YA KUTOA ZAKA YA FITRI. 1. Kumsafisha aliyefunga kutokana na mambo ya upuzi na uchafu, kama ilivyopokewa kutoka kwa Ibn Abbas ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya Saumu kilugha na kisheria Jawabu: Maana ya Saumu Katika Lugha Ni kujizuia na kujiepusha kufanya jambo fulani. Ama Saumu ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni ipi hukmu ya kufanga? Jawabu: Hukumu ya kufunga saumu Imegawanyika saumu ambayo Mwenyezi Mungu ameiweka katika sheria vigawanyo vifuatavyo: 1. SAUMU YA ... Read More