SOMO LA FIQHI KIWANGO CHA KUTOLEWA ZAKA YA FITRI Pishi moja na [Pishi ni sawa na kilo mbili na gramu arubaini (2.040 grms).]. kwa kila mtu, ... Read More
SOMO LA FIQHI HIKMA YA KUTOA ZAKA YA FITRI. 1. Kumsafisha aliyefunga kutokana na mambo ya upuzi na uchafu, kama ilivyopokewa kutoka kwa Ibn Abbas ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya Saumu kilugha na kisheria Jawabu: Maana ya Saumu Katika Lugha Ni kujizuia na kujiepusha kufanya jambo fulani. Ama Saumu ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni ipi hukmu ya kufanga? Jawabu: Hukumu ya kufunga saumu Imegawanyika saumu ambayo Mwenyezi Mungu ameiweka katika sheria vigawanyo vifuatavyo: 1. SAUMU YA ... Read More
SOMO LA FIQHI Kwa vile ibada ya Funga ilikuwa ikifanywa na watu wa Ahlul Kitab waliotangulia, na Mtume ﷺ alikuwa akipenda kuzifanya ibada zilizokuwa zikifanywa nao kabla ... Read More
SOMO LA FIQHI Kufunga mwezi wa Ramadhani ni nguzo mojawapo kati ya nguzo za Uislam, na ni lazima kufunga mwezi huu. Mwenyezi Mungu amewalazimisha waja ... Read More
SOMO LA FIQHI Saumu ya Ramadhani ina nguzo mbili za msingi, ambazo kusihi kwa saumu kunazitegemea. Nguzo ya kwanza: Ni kutia nia: nao ni kuazimia kufunga mwezi ... Read More
MAMBO YANAYOFAA KUFANYA IKIWA MTU AMEFUNGA 1. Kuoga, na kukaa mahali penye maji ili kupata baridi. 2. Kumeza mate na makohozi. 3. Kuonja chakula ili kujua kiwango cha ... Read More
MAMBO YANAYOPENDEKEZWA KUFANYWA NDANI YA SAUMU 1. Kula daku na kuchelewesha kula daku hadi karibu sana na kuadhiniwa alfajiri Kwa kauli ya Mtume ﷺ: [تسحروا فإن في ... Read More