IDUL-ADH’HA Idul Adhaha (Iddi ya kuchinja) ni mojawapo ya idd mbili katika Uislamu na inakuwa tarehe kumi Dhulhijaa baada ya kusimama Arafa sehemu ambayo wamesimama mahujaj katika ... Read More
IDUL-FITR Iddi ya Fitri ni Iddi ya kwanza kwa Waislamu. Waislamu wanasherehekea katika mwezi wa Shawwal kinyume na Iddul adhha ambapo Waislamu wanasherehekea katika mwezi ... Read More
MNASABA WA MWAKA MPYA Shukrani zote ni za Mwenyezi Mungu, Swala na salamu zimfikie Mtume wetu Muhammad ﷺ. Inapaswa kwa kila mwanadamu kujiuliza maswala haya: Nimekuja ... Read More
SWALA YA KUOMBA MVUA Kila ugonjwa una tiba yake, ardhi ikiwa kavu na kupatikana ukame. Uislamu umeweka ibaada Maluum nayo ni  (Swalatul IstisQai) ni Swala ... Read More
SWALA YA KUPATA MWEZI NA JUA Usiku na mchana kupishana ni miujiza ya Allâh ili mwanaadamu anufaike nayo, na Akajaalia iwe chini ya utumishi wake. ... Read More
HISHIMA YA MWANAMKE KATIKA UISLAMU Ndugu katika imani, suala la mwanamke ni suala ambalo liliwashughulisha watu wengi walio pita, na linaendelea kuwashughulisha wengi katika zama ... Read More
HAKI YA MUISLAMU JUU YA MUISLAMU MWENZAKE Uislamu ni dini kubwa imeweka muongozo ambao kwamba inakusanya haki na uwajibikaji, miongoni mwa haki hizo ni haki ... Read More
HAKI ZA JIRANI Kila Muislamu anahitaji kujua jambo ambalo Jibril (A.S) hakuacha kumuusia Mtume ﷺ kuhusu jirani mpaka akadhani ana haki ya kurithi. Jirani ana haki zinapaswa ... Read More
KUAMILIANA NA WASIO KUWA WAISLAMU Dini ya Kislamu imepanga sheria ya kila kitu. Na miongoni mwa sheria hizo, ni sheria ya kuishi na kufungamana na ... Read More
KUHIMIZA KUFANYA KAZI YA HALALI NA KUJIEPUSHA NA HARAMU Nani katika sisi ambaye hataki kuwa na afya njema yeye na familia yake?. Yote hayo yanapatikana ... Read More