AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Katika mwaka wa kumi na moja wa Utume, Shawwal, Mtume (ﷺ) alimuoa Bi Aisha Siddiqah (Radhi za Allah ziwe juu yake), akiwa na ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Wakati Mtume (ﷺ) yupo katika hatua ambayo Da’awa ilikuwa ikipita katika kipindi cha mafanikio na matatizo, nyota za matumaini zilianza kuangaza katika maeneo ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Tumetaja kuwa watu sita miongini mwa watu wa Yath’tib (Madina) walisilimu katika msimu wa Hijja mnamo mwaka wa kumi na moja wa Utume ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Wakati wa msimu wa Hijja katika mwaka wa kumi na tatu wa Utume sawasawa na mwezi wa Juni mwaka 622 C.E. walihudhuria Waislamu ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Baada ya kikao kukamilika yalianza mazungumzo kwa kuupitisha mwafaka wa kidini na kijeshi, na mzungumzaji wa kwanza alikuwa ni ’Abbas bin Abdil Muttwalib, ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Wakati watu walipokuwa wakijiandaa kutawanyika baada ya shughuli ya kupeana ahadi na Mkataba Kukamilika, mmoja miongoni mwa Mashetani aliugundua Mkataba huo. Kwa kuwa ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Baada ya kukamilika kwa mkataba wa Al-Aqaba wa pili, na Uislamu kufanikiwa kuanzisha Dola yake katikati ya jangwa lililojaa ukafiri na ujinga, na ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Mushirikina walipowaona Masahaba wa Mjumbe’ wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) wamejiandaa na wametoka, wamebeba mali na wamewaongoza watoto kuelekea kwa Al- Awsi na Al-Khazraji ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Baada ya kukamilika mkutano mapendekezo ya ufumbuzi yalianza kutolewa, na baada ya mjadala mrefu: Abul-Aswad alisemaz “Tumtoe katika nchi yetu na hatujali wapi ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Yalipokamilia Maamuzi ya dhulma ya kumwua Mtume (ﷺ), aliteremka Jibril (Alayhi Salaam) akiwa na wahyi kutoka kwa Mola wa viumbe Aliye Mtukufu na ... Read More