0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

NDOA YA MTUME ﷺ KUMUOWA BIBI AISHA (Radhi za Allah ziwe juu yake)


AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM


Katika mwaka wa kumi na moja wa Utume, Shawwal, Mtume (ﷺ) alimuoa Bi Aisha Siddiqah (Radhi za Allah ziwe juu yake), akiwa na umri wa miaka sita, na aliingia nyumbani kwake baada ya kuhamia Madina, Shawwal mwaka wa kwanza wa kuhama, wakati huo Bi Aisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) akiwa na umri mdogo wa miaka tisa (1)


1) Talqiyh Ahlul Athar, Uk. 10. Sahihil Bukhari, Iuzuu 1, Uk. 551.
*) Arrahiq Al-Makhtuum Uk -247

Begin typing your search above and press return to search.