0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

413. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutaraji (Rehema Za Mwenyezi Mungu.)

باب الرجاء


 وعن أَبي ذر – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -: {يقول الله – عز وجل -: مَنْ جَاء بالحَسَنَةِ فَلَهُ عَشْرُ أمْثَالِهَا أَوْ أزْيَد، وَمَنْ جَاءَ بالسَيِّئَةِ فَجَزاءُ سَيِّئَةٍ سَيِّئَةٌ مِثْلُهَا أَوْ أغْفِرُ. وَمَنْ تَقَرَّبَ مِنِّي شِبْراً تَقَرَّبْتُ مِنْهُ ذِرَاعاً، وَمَنْ تَقَرَّبَ مِنِّي ذِرَاعاً تَقَرَّبْتُ مِنْهُ بَاعاً، وَمَنْ أتَانِي يَمْشِي أتَيْتُهُ هَرْوَلَةً، وَمَنْ لَقِيني بِقُرَابِ الأرْض خَطِيئةً لا يُشْرِكُ بِي شَيئاً، لَقِيتُهُ بِمِثْلِهَا مَغفِرَةً}     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Dharri (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume amesema: “Allâh Anasema: [ Atakayetenda mema, atapata mema mara kumi yake au zaidi, na atakayetenda mabaya, basi malipo ya mabaya ni mabaya mfano wake au Nitamsamehe. Atakayejikaribisha Kwangu kwa shubiri, Nitamkaribia kwa dhiraa, atakayenikaribia kwa dhiraa, Nitamkaribia kwa pima, atakayenijia kwa kutembea, Nitamwendea mbio-mbio, na atakayekutana Nami kwa dhambi zilizojaa ardhini akawa hanishirikishi kwa chochote, Nitampa maghfira mfano wa dhambi hizo.]  [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.