HUKMU YA MTOTO KUSALISHA SWALA YA FARADHI Swali: Yafaa kwa mtoto ambae hajabaleghe kusalisha watu Swala ya faradhi? Jawabu: Kwanza kabisa wanazuoni wameafikiana kujuzu kuswalisha mtoto ... Read More
RUHUSA YA KUKUSANYA SWALA KWA MGONJWA Suala: Je mgonjwa alie lala kitandani anaruhusiwa kukusanya Swala na kupunguza? Jawabu: Mtu akishikwa na ugonjwa na akawa hawezi kusimama ... Read More
HUKMU YA KUSWALI IJUMAA KWA MSAFIRI Suali: Ni ipi hukmu ya kuswali Swala ya Ijumaa kwa Msafiri? Jawabu: Kwanza kabisa msafiri haimpasi kuswali Ijumaa, imekuja katika kitabu ... Read More
KUACHA SWALA YA IJUMAA BILA YA DHARURA Suali: Ni ipi hukmu ya mtu kuacha swala ya ijumaa bila yakuwa na dharura? Jawabu: Swala ya Ijumaa ni faradhi ... Read More
HUKMU YA MWENYE KUSWALI NA NAJISI KWA KUSAHAU Suali: Ni ipi hukmu ya mwneye kuswali na najisi kwa kusahau ? Jawabu: Bila shaka mtu kuwa twahara ni ... Read More
MWENYE KUACHA SWALA ANA HUKMU GANI? Suali: Ni ipi hukmu ya mwenye kuacha swala? Jawabu: Hukumu ya mwenye kuacha Swala inategemea na namna anvyo itakidi juu ... Read More
ALAMA ZA KUBALIGHI KISHERIA SUALI: Ni zipi alama za kubalaghi kwa mtoto za kisheria? JAWABU: Kubaleghe kwa mtoto ni kutoka katika marhala ya utotoni na ... Read More
ADABU ZA KUINGIA CHOONI Suali: Ni zipi adabu za kuingia chooni? Jawabu: Hakika dini ya kiislamu haikuwacha kitu katika mambo ya kheri ila imewafundisha waislamu,na hakuna ... Read More
FAIDA ZA KUTAWADHA KIMWILI NA KINAFSI Suali: Ni ipi faida ya kutwadha kinafsi na kimwili ?? Jawabu: Kwanza kabisa ni lazima kujua kuwa kutawadha ni ibaada ... Read More
JE KUNA KAFARA YA MTU ALIYESHIKA QUR’ANI BILA YA TWAHARA? SWALI: Je kuna Kafara ya mtu aliyeshika Qur’ani bila ya twahara: JAWABU: Bila shaka kushika Mswahafu bila ... Read More