JE MTU HULAZIMI KUOGA ANAPO MUINGILIA MKEWE KWA NYUMA? SWALI: Mtu kumuingilia mkewe kwa tupu ya nyuma ni katika Madhambi Makubwa lakini mtu atakapo fanya ... Read More
KUMGUSA MWANAMKE HUVUNDA UDHUU? Swali: Mtu anapo kuwa na udhu kisha akamgusa mkewe udhu wake huharibika ? Jawabu: Mas’ala ya kumgusa mwanamke kuwa ya tangua ... Read More
VIGAWANYO VYA MAJI SWALI:Â Maji yanagwanyika sehemu ngapi kama walivyo elezea wanachuoni wa fiqhih? JAWABU:Â Maji yanagawanyika Viganyo vitatu kwa ujumla kama walivyo elezea wanachuoni wa fiqih ... Read More
HUKMU YA KUITIKIA SALAMU KATIKA SEHEMU ZA KUTAWADHIA ZILO KARIBIANA NA CHOO Swali:Â Ni ipi hukumu ya kumsalimia mtu akiwa katika sehemu ya kutawadhia ambapo pako ... Read More
HUKMU YA KUINGIA CHOONI NA KASETI ZA QUR’ANI Swali : Yafaa mtu kuingia Chooni na kaseti ya Qur’ani au na simu ilohifadhi ndani yake Qur’ani? ... Read More
NI HARAMU KUTUMIA MAJI YALIOSOMEWA KUJITWAHIRISHA ? Swali: Je yafaa kutumia maji yaliosomewa na maji ya kawaida katika kujitwahirisha? Jawabu: Hakuna ubaya wa kutumia maji ... Read More
HUKMU YA KUKAUKA KWA NGUO ILIO NAJISIKA Swali:Â Ni nini hukumu yanajisi iliokauka na kupotea athari yake. Kama vile rangi au harufu na kadhalika. Jawabu: Nguo ... Read More
HUKMU YA KUTUMIA MAJI YALIO TUMIWA Swali: Je yafaa mtu kutumia maji yalio tumiwa kujitwayarisha kukamilishia Udhu wake. Mfano; mtu akayakusanya maji ya kutawadhia kwenye chombo ... Read More
MTU ATAFANYA NINI ATAKAPO KOSA MAWE YA KUJISAFISHIA? Swali: Tumekataza kutumia mfupa au choo cha hayawani katika kujisafishia. Je mtu atakapo kosa Maji na kukosa ... Read More
HUKMU YA KUTAWADHA NA MAJI YALIO INGIA MENDE Swali : Mende/Kombamwiko akiingia kwenye maji kidogo ambao hajafikia Qullatayn maji yale hunajisika? Jibu: kuingia wadudu ambao hawana ... Read More