KUZALIWA KWA BWANA MTUME MUHAMMAD ﷺ. Bwana Mtume – ﷺ – alizaliwa katika mji wa Makkah, siku ya Jumatatu mwezi wa mfungo sita, mwaka wa tembo ... Read More
KWA NINI ULIITWA MWAKA ALIOZALIWA MTUME ﷺ MWAKA WA NDOVU? Umeitwa mwaka wa Ndovu kwa sababu mwaka huu kulitokea kisa muhimu sana cha kutaka kuvundwa ... Read More
KUNYONYESHWA KWA BWANA MTUME ﷺ Bwana Mtume ﷺ mara baada ya kuzaliwa alinyonyeshwa na mama yake Bi Amina Bint Wahab kwa siku kadhaa. Kisha akanyonyeshwa na Bibi Thuwaybatul ... Read More
KWA BANU SA’AD Siku hizo ilikuwa ni mazoea ya watu wa mijini katika Waarabu kuwatafutia watoto wao wanyonyeshaji wa mashambani ili kuwaepusha watoto wao na magonjwa ... Read More
BARAKA ZA MTUME MUHAMMAD ﷺ KWA BANU SA’AD Kwa sababu ya Baraka za Mtume ﷺ Halima aliona mambo ambayo aliyasimulia kwa kustajabishwa kwake na tumwache yeye ... Read More
KUPASULIWA KIFUA CHA MTUME ﷺ Imamu Muslim amepokea kutoka kwa Anas radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu kuwa عن أنس بن مالك رضي الله تعالى عنه ... Read More
KUFARIKI KWA MAMA YAKE MWENYE HURUMA SANA Baada ya tukio hili, Halima alipata hofu juu ya maisha ya Mtume ﷺ na akaamua kumrudisha kwa mama ... Read More
KULELEWA NA AMMI YAKE ABUU TWALIB Alipofariki Babu yake Mtume ﷺ, Abi Twalib alichukua jukumu la kumlea mtoto wa ndugu yake kwa njia iliyo kamilifu ... Read More
KUKUTANA NA MTAWA (ARRAHIB) BAHIRA Wakati Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ﷺ alipofikisha miaka kumi na miwili, pamesemwa kuwa na miezi miwili na siku kumi, Abi Twalib alisafiri naye ... Read More