SIMULIO LA BIBI AISHA KATIKA KUTEREMKA KWA WAHYI Hebu tumsikilize Aisha mtoto wa Abubakar Siddiq radhi za Allah ziwe juu yake akitueleza kisa cha tukio hili ... Read More
KWENDA KWA WARAQAH BIN NAWFAL Khadija (r.a) akaondoka na kwenda naye kwa Waraqah bin Nawfal bin Assad bin Abdul-Uzza, mtoto wa ammi yake Khadija. Huyu alikuwa ... Read More
KIPINDI CHA KUKATIKA KWA WAHYI Ibni Saad amepokea kutoka kwa ‘lbn Abbas maneno yaliyohusu “kukatika kwa Wahyi ambayo’ kimsingi yanafahamisha kuwa kipindi hicho kilikuwa ni cha siku nyingi. Baada ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Ibni Hajar anasema: ‘Kukatika kwa Wahyi kulikuwa kumekusudiwa kumuandaa Mtume ﷺ na kumuondoa khofu aliyokuwa nayo, na ili ipatikane shauku ya kurejea huo wahyi.(1) Baada ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Kabla hatujaingia kufafanua kipindi cha ujumbe na Utume, tunaona kuwa ni bora kwanza tukaelewa hatua za Wahyi ambao ndio chimbuko la Ujumbe na ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Aya zenyewe zimekusanya mada za Da’awa na ufikishaji wa ujumbe. Kukhofisha nafsi kuna maana ya kuwa yapo matendo ambayo huwa na mwisho mbaya, ambao ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Inawezekana kuzigawa nyakati za Da’uia (wito) ya Mtume ﷺ kwenye vipindi viwili vilivyo kamilika kama ifuatavyo: 1). Kipindi cha Makka kilichochukua takriban miaka kumi ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM MIAKA MITATU YA DA’WA YA SIRI Inaeleweka kuwa Makka ilikuwa ndio kituo cha Waarabu. Walikuwapo waangalizi wa Al-Ka’aba, na waangalizi wa masanamu yaliyokuwa matakatifu ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Hawa ndio watu katika kundi ambalo linajulikana katika historia ya Uislamu kuwa ndio Waislamu wa mwanzo, wakiongozwa na mke wa Mtume ﷺ, mama wa ... Read More