0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

KUPASULIWA KIFUA CHA MTUME ﷺ


KUPASULIWA KIFUA CHA MTUME ﷺ


Imamu Muslim amepokea kutoka kwa Anas radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu kuwa

عن أنس بن مالك رضي الله تعالى عنه أن النبي صلى ‏الله عليه وسلم أتاه جبريل وهو يلعب مع الغلمان فأخذه فصرعه فشق عن قلبه فاستخرج ‏القلب فاستخرج منه علقة فقال: هذا حظ الشيطان منك ثم غسله في طست من ذهب ‏بماء زمزم ثم لأمه ثم أعاده في مكانه، وجاء الغلمان يسعون إلى أمه – يعني ظئيره- فقالوا إن ‏محمداً قد قتل. فاستقبلوه وهو منتقع اللون. قال أنس: أرى أثر المخيط في صدره

[jibril alimwendea Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ﷺ hali ya kuwa anacheza pamoja na Watoto Wengine, akamchukua ma kumlaza chali, kisha akakipasua’kifua chake na akautoa moyo,katika huo moya akatoa pande la damu °na kusema: ‘Hili ni fungu la shetarii kwako.’ Kisha akauosha kutokakatika tasa la dhahabu kwa maji ya Zamzam, akaufunga na kuurudisha mahali pake.: wakatoka watoto wakiwa wanakwenda mbio kwa mama yake – mlezi wake – wakamwambia: ‘Hakika Muhammad ameuwawa; mara akatokea, wakampokea na hali ya kuwa amebadilika rangi.

Asema Anas nikiona athari ya mshono katika kifua chake.


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.