SOMO LA FIQHI Sunna za Hijja Lisilokuwa nguzo na wajibu ni Sunna, kama inavyofuata: 1. Kuoga wakati wa kuhirimia. 2. Kuhirimia kwa kikoi cheupe na shuka ya ... Read More
SOMO LA FIQHI Wajibu za Hijja 1. Kuhirimia kwenye sehemu zilizowekwa kuhirimia: kwa neno lake ﷺ baada ya kuzitaja sehemu za kuhirimia: [هُنَّ لَهُنَّ، وَلِمَنْ أَتَى عَلَيْهِنَّ مِنْ ... Read More
SOMO LA FIQHI NGUZO ZA HIJA 1. Kuhirimia: kwa neno la Mtume ﷺ: [إِنَّمَا الْأَعْمَالُ بِالنِّيَّاتِ، وَإِنَّمَا لِكُلِّ امْرِئٍ مَا نَوَى .] رواه البخاري [Hakika matendo ... Read More
SOMO LA FIQHI Maelekezo 1. Ni juu ya Muislamu kutoingia kwenye zahma pamoja na wenye kutufu ili asijitie kwenye tabu yeye na kuwatia wenzake, katika kutaka ... Read More
SOMO LA FIQHI Namna ya Kufanya Umrah 1. Atakayefanya Umra afikapo mahali pa kuhirimia, ataoga, atajitia manukato, atavaa mavazi ya kuhirimia na atanuilia Umra hali ya ... Read More
SOMO LA FIQHI Twawafu ya kuaga Anae fanya haji akitaka kutoka Makka atafanya Twawaafu ya kuaga, nayo ni wajibu miongoni mwa wajibu za Hija, na ... Read More
SOMO LA FIQHI Maelekezo Muislamu ajiepushe na kuwaudhi ndugu zake Mahujaji wakati wa kutupa vijiwe jamaraat, nawakati wakufanya ibada nyinginezo za hija. Ahakikishe kuwa kijiwa ... Read More
SOMO LA FIQHI 1. Haji atakapofika muzdalifa atanza na Swala ataswali Maghrib na Ishaa kwa kuzikusanya na kupunguza Swala ya isha, kabla kuteremsha mizigo na vitu ... Read More