0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

TWAWAFU YA KUAGA

SOMO LA FIQHI

Twawafu ya kuaga
Anae fanya haji akitaka kutoka Makka atafanya Twawaafu ya kuaga, nayo ni wajibu miongoni mwa wajibu za Hija, na hafanyi sai na hupomoka Twawafu ya kuaga kwa mwanamke menye Hedhi na Nifasi

Kuichelewasha Twawafu ya Ifaadha mpaka kwenye Twawafu ya Kuaga
Lau mwenye kufanya hija ataichelewesha Twawafu ya Ifaadha mpaka kwenye Twawafu ya kuaga yafaa kufanya hivyo lakini si bora kufanya hivyo, na itamtosheleza Twawafu ya ifaadha kwa sharti atie nia ya Ifaadha itamtosheleza na Twawafu ya kuaga hata kama atafanya sai baada yake.


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.