SOMO LA FIQHI Suali: Nipi hukumu ya swala tano? Jawabu: Swala tano ni wajibu kwa kila Muislamu, kulingana na mafundisho ya Qur’ani, na Sunna na Ijmaa ya ... Read More
SOMO LA FIQHI Suali: Ni nini Maana ya swala kilugha na kisheria Jawabu: Maana ya Swala kilugha ni: Dua (Maombi) Tukuiangalia Qur’ani Tukufu tutalikuta neno swala limetumika ... Read More
SOMO LA FIQHI 1. Imesharutishwa katika bendeji au vitata visizidi sehemu inayotakikana kutibu pamoja na sehemu za kandokando yake zinazohitajika kuthibitisha vitu hivi. 2. Haisharutishwi ... Read More
SOMO LA FIQHI KITATA: Ni kile kinachofungwa mahali palipovunjika kiwe ni tambara zito au vipande vya mti au mfano wake BENDEJI: Ni kitu kinachotatiwa kwenye jaraha au ... Read More
SOMO LA FIQHI Wanachuoni wa Fiqhi wamelezea, mambo yenye kubatilisha upangusaji wa khofu na wakatataja mambo ya fuatayo 1. Kumalizika muda wa upangusaji ulioruhusiwa kisheria kwa ... Read More
SOMO LA FIQHI Sheria haikumuachia kila mtu aitekeleze ruhusa hii ya upakazaji maji juu ya khofu kwa namna aitakayo mwenyewe, bali imeelekeza namna maalumu ya ... Read More
SOMO LA FIQHI Ili upangusaji juu ya khofu usihi kisheria ni lazima yapatikane sharti kadhaa kama zilivyotajwa na Wanachuoni. Miongoni mwa sharti muhimu kabisa ni ... Read More
SOMO LA FIQHI 1. Kuswali kwa kutayamamu, iwapo haiwezekani kutumia maji, ni bora kuliko mtu kuswali na huku amejizuia mkojo au choo. 2. Inafaa kutayamamu kwenye ukuta ... Read More
SOMO LA FIQHI Tayamamu hutenguka na kubatilika kwa kupatikana mambo yafuatayo : 1. Kupata maji baada ya kuyakosa. Hii ni kwa sababu kutayamamu ni badala ya ... Read More