KUSILIMU KWA MYAHOODI RABII YOUSEF COHEN Rabii Yousef Cohen alizaliwa Brooklyn, Amerika mwaka wa 1971, alikuwa mfuasi wa satmar, kikundi katika makundi ya kiyahoodi akiitwa ... Read More
HAMZA YUSUF Hamza Yusuf alizaliwa, Mark Hanson, huko Walla Walla, jimbo la Washington Amerika, na baadaye wazazi wake wakahamia jimbo la California na walikuwa wafuasi ... Read More
YUSUF ESTES Skip Estes alizaliwa Ohio mwaka 1944 na kuhamia Texas mwaka 1949. Alikulia katika familia ya Kiprotestant; kama mmoja wa ‘Wanafunzi wa Kristo’ (Disciples ... Read More
YUSUF ISLAM (CAT STEVENS) “Ewe Mungu! Kama ukiniokoa nitafanya kazi kwa ajili yako.” Hapo Cat Stevens alipokuwa bichi (ufukoni) ya Malibu ambapo kuogelea kwake kwa ... Read More
MALCOLM X Malcolm X alizaliwa kama Malcolm Little Mei 19, 1925 huko Omaha, Nebraska. Baba yake, Earl Little alikuwa mchungaji asiyeogopa kusema ukweli, na pia ... Read More
Dkt. Gary Miller Huyu ni mwanahisabati na mwanatheolojia wa kutokea Canada. Alikuwa akijitolea kufanya kazi za kimishenari za Kikristo katika maisha yake lakini akaja kugundua mambo mengi yenye mashaka katika Biblia. Mwaka 1978 ... Read More
Michael Wolfe Pamoja na kuwa Rais na prodyuza mkuu wa mfuko wa Unity Productions, Michael Wolfe (aliyezaliwa 3 Aprili 1945, Marekani) ni mtunzi wa vitabu ... Read More
Sarah Joseph Huyu anatokea katika familia ya Kikatoki ya Uingereza ambayo mizizi yake inatokana na uvamizi wa Norman (Norman Conquest). Mama yake alianzishaa uwakala wa ... Read More
MUSA CERANTONIA Alizaliwa na kukulia Melbourne, Australia. Anatoka katika familia ya watoto 6. Alisilimu 2002 mwezi wa Ramadhani akiwa na miaka 17. Amesomea Historia na ... Read More
DKT. TIMOTHY J. WINTER Ni mzaliwa wa Uingereza mwaka 1960. Amesoma katika shule yenye hadhi Westminster, London na baadae akaingia Chuo Kikuu cha Cambridge ambapo ... Read More