SOMO LA FIQHI MAANA YA HEDHI Hedhi katika lugha ya kiarabu, maana yake ni Kuchurizika. Ama hedhi kwa mtazamo wa sheria: “Ni damu inayotoka kwenye ... Read More
SOMO LA FIQHI TunAkusudia kwa ibara (Muda wa hedhi) kile kipindi ambacho mwanamke hutumika yaani huwamo hedhini. Kipindi hiki tunaweza kukigawa katika sehemu tatu,kama ifuatavyo:- ... Read More
SOMO LA FIQHI 1. HUKMU YA UVINDU NA UMANJANO Mwanamke akiona damu ya manjano au iliyochanganyika baina ya umanjano na weusi, au akaona umajimaji tu, ... Read More
SOMO LA FIQHI MAANA YA ISTIHADHA Istihadha: Ni kutiririka damu kutoka kwenye tupu ya mwanamke ikawa haikomi kabisa au ikatike kwa kipindi kichache. TOFAUTI BAINA YA ... Read More
SOMO LA FIQHI HALI YA KWANZA: Awe na ada inayojulikana ya siku zake za hedhi kabla ya kujiwa na istihadhah: Huyo atahesabu siku za kadiri ... Read More
SOMO LA FIQHI MAELEZO 1. Iwapo mwanamke anajua wakati wa hedhi yake, lakini akawa amesahau idadi ya siku zake za hedhi, basi atashika hesabu ya ada wanawake wengi. ... Read More
SOMO LA FIQHI MAANA YA NIFASI Nifasi: Ni damu inayotoka kwenye uzao wa mwanamke kwa sababu ya kuzaa Muda wa Nifasi Hakuna mpaka wa uchache wa ... Read More
SOMO LA FIQHI Yanayoharamishwa kwa ajili ya hedhi na nifasi 1. KUJAMIANA Kwa neno lake Mwenyezi Mungu Aliyetukuka: {وَيَسْأَلُونَكَ عَنِ الْمَحِيضِ ۖ قُلْ هُوَ أَذًى ... Read More
SOMO LA FIQHI MAANA YA KUTAYAMAMU Kutayamamu kilugha: Ni Kukikusudia kitu na kukielekea Ama Maana yake kisheria: Ni Kupukusa uso na viganja vya mikono miwili kwa ardhi ... Read More
SOMO LA FIQHI 1. YANAPOKOSEKANA MAJI Kwa neno lake Mwenyezi Mungu aliyetukuka: {فَلَمْ تَجِدُوا مَاءً فَتَيَمَّمُوا} المائدة:6 [Na mkitopata maji tayamamuni] [5: 6]. Na mtu ... Read More