KUUNGA KIZAZI
KUUNGA KIZAZI Amesema Mtume Muhammad ﷺ aliyesema [Hatoingia peponi anayewakata jamaa zake]. Na jamaa ya mtu ni mamake, babake, watoto wake na kila ambaye karibu naye kinasaba. ... Read More