0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

34 DUA BAADA YA SALAMU KATIKA SWALA YA WITRI

KINGA YA MUISLAMU

سُـبْحانَ المَلِكِ القُدّوس]   ثلاث مرات]

[Ametakasika Mwenyezi Mungu  Mfalme, Mtakatifu.]   mara tatu

Na mara ya tatu anaisoma kwa sauti kubwa na kwa kuivuta.

[ ربِّ الملائكةِ والرّوح ]

رواه النسائي 3/244 والدار قطني وغيرهما

[Ewe Mola wa malaika na wa Jibriil.]       [Imepokewa na Al-Nnasaai na Al-Ddarqutnyi]


DUA BAADA YA SALAMU KATIKA SWALA YA WITRI


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.