0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

39 KUOMBA DUA DHIDI YA ADUI

KINGA YA MUISLAMU

[ اللهم منزل الكتاب ، سريع الحساب ، اهزم الأحزاب ، اللهم اهزمهم وزلزلهم ]

 مسلم 3/1362

[Ewe Mwenyezi Mungu, Mteremsha wa kitabu, Mwepesi wa kuwahisabu (waja wako) Vishinde vikosi.  Ewe Mwenyezi Mungu, washinde na watetemeshe.]      [Imepokewa na Muslim.]

SIKILIZA KUOMBA DUA DHIDI YA ADUI

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.