KUPASULIWA KIFUA CHA MTUME ﷺ Imamu Muslim amepokea kutoka kwa Anas radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu kuwa عن أنس بن مالك رضي الله تعالى عنه ... Read More
KUFARIKI KWA MAMA YAKE MWENYE HURUMA SANA Baada ya tukio hili, Halima alipata hofu juu ya maisha ya Mtume ﷺ na akaamua kumrudisha kwa mama ... Read More
KULELEWA NA AMMI YAKE ABUU TWALIB Alipofariki Babu yake Mtume ﷺ, Abi Twalib alichukua jukumu la kumlea mtoto wa ndugu yake kwa njia iliyo kamilifu ... Read More
KUKUTANA NA MTAWA (ARRAHIB) BAHIRA Wakati Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ﷺ alipofikisha miaka kumi na miwili, pamesemwa kuwa na miezi miwili na siku kumi, Abi Twalib alisafiri naye ... Read More
VITA VYA AL-FIJAR Wakati Mtume ﷺ alipofikisha umri wa miaka kumi na mitano vilitokea vita vya Al-Fijar kati ya Makuraishi na wale waliokuwa pamoja nao miongoni ... Read More
KIAPO CHA AL-FUDHUUL Baada ya vita hivi ulipatikana rmkataba wa AI-Fudhoul katika mwezi wa Dhul-Qaada (mfungo pili) wakati wa mwezi mtukufu. Katika mkataba huu yaliitana makabila ... Read More
KUCHUNGA MBUZI ﷺ Mtume ﷺ alikuwa hana kazi maalumu mwanzoni mwa ujana wake, isipokuwa imepokelewa kuwa alikuwa akichunga mbuzi kwa Banu Saad na mbuzi wengine wa watu wa ... Read More
SAFARI YA KWENDA SHAM KWA AJILI YA BIASHARA Alipofikisha umri wa miaka ishirini na tano, alitoka kuelekea Sham kwa madhumuni ya kufanya biashara katika mali ... Read More
KUMUOA BIBI KHADIJA Mtume ﷺ Aliporudi Makka Bi Khadija aliona mambo ambayo hajapata kuyaona kabla ya hapo, katika kuongezeka mali yake. Uaminifu wa Mtume na baraka zake ... Read More