0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

017. Riyadhu Swalihina Mlango wa Tawba Hadithi ya 05


BUSTANI YA WATU WEMA


وعَنْ أبي هُريْرةَ رضي الله عنه قال : قال رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَنْ تاب قَبْلَ أَنْ تطلُعَ الشَّمْسُ مِنْ مغْرِبِهَا تَابَ الله علَيْه »   رواه مسلم   


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema:[Mwenye kutubia kabla ya jua kuchomoza upande wa magharibi, Mwenyezi Mungu Atamkubalia Tawba yake.]    [Imepokewa na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.