0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

018. Riyadhu Swalihina Mlango wa Tawba Hadithi ya 06


BUSTANI YA WATU WEMA


وعَنْ أبي عَبْدِ الرَّحْمن عَبْدِ اللَّهِ بن عُمرَ بن الخطَّاب رضي الله عنهما عن النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: «إِنَّ الله عزَّ وجَلَّ يقْبَلُ توْبة العبْدِ مَالَم يُغرْغرِ» رواه الترمذي وقال: حديث حسنٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abuu Abdir-Rahmaan, Abdullaah bin Umar bin Al-Khattwaab Radhi za Allah ziwe juu kwamba Mtume wa Mwenyezi Munguamesema: [Hakika Mwenyezi Mungu ﷻ Huikubali Tawba ya mja madamu roho yake haijafika kooni.]   [Imepkewa na At-Tirmidhiy na amesema: Hadiyth hii ni Hasan]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.