0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

016. Riyadhu Swalihina Mlango wa Tawba Hadithi ya 04


BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أبي مُوسى عَبْدِ اللَّهِ بنِ قَيْسٍ الأَشْعَرِيِّ ، رضِي الله عنه ، عن النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: « إِن الله تعالى يبْسُطُ يدهُ بِاللَّيْلِ ليتُوب مُسيءُ النَّهَارِ وَيبْسُطُ يَدهُ بالنَّهَارِ ليَتُوبَ مُسِيءُ اللَّيْلِ حتَّى تَطْلُعَ الشَّمْسُ مِن مغْرِبِها »   رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Musa, Abdullaah bin Qays Al-Ash’ariyy Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba Mtume amesema: [Mwenyezi Mungu Hunyoosha Mkono Wake usiku ili apate kumsamehe alie mkosea mchana, na Hunyoosha mkono wake mchana ili apate kumsamehe alie mkosea usiku, (hali hiyo huendelea) mpaka jua lichomozapo upande wa magharibi]      [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.