0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

016. Riyadhu Swalihina Mlango wa Tawba Hadithi ya 04


BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أبي مُوسى عَبْدِ اللَّهِ بنِ قَيْسٍ الأَشْعَرِيِّ ، رضِي الله عنه ، عن النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: « إِن الله تعالى يبْسُطُ يدهُ بِاللَّيْلِ ليتُوب مُسيءُ النَّهَارِ وَيبْسُطُ يَدهُ بالنَّهَارِ ليَتُوبَ مُسِيءُ اللَّيْلِ حتَّى تَطْلُعَ الشَّمْسُ مِن مغْرِبِها »   رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Musa, Abdullaah bin Qays Al-Ash’ariyy Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba Mtume ﷺ amesema: [Mwenyezi Mungu ﷻ Hunyoosha Mkono Wake usiku ili apate kumsamehe alie mkosea mchana, na Hunyoosha mkono wake mchana ili apate kumsamehe alie mkosea usiku, (hali hiyo huendelea) mpaka jua lichomozapo upande wa magharibi]      [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.