0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

017. Riyadhu Swalihina Mlango wa Tawba Hadithi ya 05


BUSTANI YA WATU WEMA


وعَنْ أبي هُريْرةَ رضي الله عنه قال : قال رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَنْ تاب قَبْلَ أَنْ تطلُعَ الشَّمْسُ مِنْ مغْرِبِهَا تَابَ الله علَيْه »   رواه مسلم   


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema:[Mwenye kutubia kabla ya jua kuchomoza upande wa magharibi, Mwenyezi Mungu Atamkubalia Tawba yake.]    [Imepokewa na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.