JIBRIL ANATEREMKA NA WAHYI MARA YA PILI
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Ibni Hajar anasema: ‘Kukatika kwa Wahyi kulikuwa kumekusudiwa kumuandaa Mtume ﷺ na kumuondoa khofu aliyokuwa nayo, na ili ipatikane shauku ya kurejea huo wahyi.(1) Baada ... Read More