0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

SOMO LA FIQHI

Nguzo za Umra
1. Kuhirimia:
kwa kauli ya Mtume ﷺ:

[إِنَّمَا الْأَعْمَالُ بِالنِّيَّاتِ، وَإِنَّمَا لِكُلِّ امْرِئٍ مَا نَوَى ]   رواه البخاري

[Hakika matendo yanazingatiwa kwa nia, na hakika ni kwamba kila mtu atapata lile alilonuilia]   [Imepokewa na Bukhari.]

2. Kusai baina ya Swafaa na Marwah:
kwa kauli ya Mtume ﷺ:

[اسْعَوْا؛ فَإِنَّ الله كَتَبَ عَلَيْكُمْ السَّعْيَ]    رواه أحمد

[Fanyeni Sai, kwa kuwa Mwenyezi Mungu Amewafaradhia kusai]   [Imepokewa na Ahmad.]

3. Alkaaba:
kwa neno la Mwenyezi Mungu Aliyetukuka:

{ وَلۡيَطَّوَّفُواْ بِٱلۡبَيۡتِ ٱلۡعَتِيقِ}   الحج: 29}

[Na waitufu Nyumba ya Zamani]   [22: 29]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.