HEKIMA YA KUOGA JANABA Kuoga katika sheria lina hekima na faida nyingi, miongoni mwa hizo ni kama zifuatazo : 1. Kupata thawabu Hii ni kwa ... Read More
MAMBO YENYE KUWAJIBISHA KUOGA Kuna aina mbili za josho kwa mtazamo wa kisheria Josho wajibu na Josho la sunna. Josho la wajibu :Hili ni lile josho ambalo ... Read More
SOMO LA FIQHI Kuoga janaba kuna namna mbili 1) Josho la Kutosheleza nalo ni lazima kupatikane Mambo mawili A) Kutia Nia ya kuondosha Janaba. B) Kueneza Maji mwili ... Read More
SOMO LA FIQHI Yanayoharamishwa kwa mwenye janaba 1. KUSWALI: Kwa neno lake Mwenyazi Mungu Aliyetukuka: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَقْرَبُوا الصَّلَاةَ وَأَنتُمْ سُكَارَىٰ حَتَّىٰ ... Read More
SOMO LA FIQHI Kuoga kunakopendekezwa 1. KUOGA KWA AJILI YA SWALA YA IJUMAA Kwa kauli ya Mtume ﷺ: [من توضأ، فبها ونعمت، ومن تغسل فالغسل أفضل] ... Read More
SOMO LA FIQHI MAANA YA HEDHI Hedhi katika lugha ya kiarabu, maana yake ni Kuchurizika. Ama hedhi kwa mtazamo wa sheria: “Ni damu inayotoka kwenye ... Read More
SOMO LA FIQHI TunAkusudia kwa ibara (Muda wa hedhi) kile kipindi ambacho mwanamke hutumika yaani huwamo hedhini. Kipindi hiki tunaweza kukigawa katika sehemu tatu,kama ifuatavyo:- ... Read More
SOMO LA FIQHI 1. HUKMU YA UVINDU NA UMANJANO Mwanamke akiona damu ya manjano au iliyochanganyika baina ya umanjano na weusi, au akaona umajimaji tu, ... Read More
SOMO LA FIQHI MAANA YA ISTIHADHA Istihadha: Ni kutiririka damu kutoka kwenye tupu ya mwanamke ikawa haikomi kabisa au ikatike kwa kipindi kichache. TOFAUTI BAINA YA ... Read More
SOMO LA FIQHI HALI YA KWANZA: Awe na ada inayojulikana ya siku zake za hedhi kabla ya kujiwa na istihadhah: Huyo atahesabu siku za kadiri ... Read More