0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA12 KUTOJISHUGHULISHA NA MAMBO YA WATU


الحديث الثاني عشر


“من حسن إسلام المرء”


عن أبي هُرَيْرَةَ رضي اللهُ عنه قالَ: قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم: [مِنْ حُسْنِ إسْلاَمِ الْمَرْءِ تَرْكُهُ مَا لاَ يَعْنِيهِ

حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ التِّرْمِذِيُّ ،وَ غَيره هكذا


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA12


MUISLAMU MZURI


Kutoka kwa Abu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake  ambaye amesema: “Kasema Mtume ﷺ [Moja ya sifa nzuri za Muislamu ni kutoshughulika na yale yasiyomuhusu.]

Hadithi iliyo katika daraja ya Hasan (nzuri inayokubalika)   [Imepokelewa na At-Tirmidhiy na wengineo.]


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA SHEIKH MUHAMMAD RAJAB


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.