0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 11 WACHA KILE KINACHOKUTIA SHAKA

الحديث الحادي عشر


” دع ما يريبك إلى ما لا يريبك”


عَنْ أَبي مُحمَّدٍ الحسَنِ بْنِ عليّ بْنِ أبي طَالِب، سِبْطِ رَسُولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم وَرَيْحَانَتِهِ رضيَ اللهُ عنهُما، قالَ: حَفِظْتُ مِنْ رَسُولِ الله صلى الله عليه وسلم:  [دَعْ ما يَرِيبُكَ إلى مَا لاَ يَرِيُبكَ

رَوَاهُ التِّرْمِذِيُّ وَالنَّسَائِيُّ وَقَالَ التِّرْمِذِيُّ: حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله



HADITHI YA 11


WACHA KILE KINACHOKUTIA SHAKA UFUATE KILE KISICHOKUTIA SHAKA


Kutoka kwa Abu Muhammad Al-Hasan Ibn ‘Ali Ibn Abi Twaalib mjukuu wa Mtume Rehma na amani ziwe juu jake  na kipenzi chake Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao alisema :

Nilihifadhi kutoka kwa Mtume Rehma na amani ziwe juu yake maneno haya: [Wacha kile kinachokutia shaka ufuate kile kisichokutia shaka.]

[Imepokelewa na At-Tirmidhi na An-Nasai, At-Tirmidhi akisema kuwa ni hadithi Hasan na Sahihi.]


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA USTADH MUHAMMAD RAJAB


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.