0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 34 KUAMRISHA MEMA NA KUKATAZA MABAYA


الحديث الرابع والثلاثون


“من رأى منكم منكرا فليغيره بيده”


عن أبي سعيدٍ الْخُدْرِيِّ رضي الله عنه قال: سمعتُ رسولَ الله صلى الله عليه وسلم يقول

مَنْ رَأَى مِنْكُمْ مُنْكَراً فَلْيُغَيِّرْهُ بِيَدِهِ، فَإنْ لمَْ يَسْتَطِعْ فَبلِسانِهِ، فَإنْ لَمْ يَسْتَطِعْ فَبقَلْبِهِ، وَذَلِكَ أضْعَف اْلإِيمَانِ

رَوَاهُ مُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 34


YEYOTE ATAKAYEONA KITENDO KIOVU AKIONDOE KWA MKONO WAKE


Imepokewa kutoa kwa Abuu Saiid Al-Khudri Radhi za Allah ziwe juu yake amesema : Nilimsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu akisema “Yoyote miongi mwenu atakae ona jambo baya alizuiye kwa mkono wake, asipoweza (kwa mkono) basi kwa ulimi wake na asipoweza (kwa ulimi) nachukie kwa moyo wake na huo ni udhaifu wa Imani”   [Imepokewa na Muslim]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.