0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 33 JUKUMU LA USHAHIDI

الحديث الثالث والثلاثون


 “البينة على المدعي واليمين على من أنكر “


عن ابن عَبَّاسٍ رضي اللُه عنهما: أن رسولَ الله صلى الله عليه وسلم قال: [ لَو يُعْطَى النَّاسُ بِدَعْوَاهُمْ لادَّعَى رِجَالٌ أموالَ قَوْمٍ ودِماءَهُمْ لَكِنِ البَيِّنَةُ على المُدَّعِى والْيَمينُ على من أَنْكَرَ]

حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ الْبَيْهَقِيّ وَغَيْرُهُ هَكَذَا، وَبَعْضُهُ فِي “الصَّحِيحَيْنِ”


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 33


JUKUMU LA USHAHIDI LIKO KWA YULE ANAYEDAI NA KULA KIAPO KUNAMUWAJIBIKIA YULE ANAYEKANA


Kutoka kwa Ibn ‘Abbaas Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye amesema kuwa Mtume ﷺ alisema:
[Kama watu wangelipewa kwa mujibu wa madai yao, watu wangelidai mali na damu za wenzao (uhai) lakini jukumu la ushahidi liko kwa yule anayedai na kula kiapo kunawajibika kwa yule anayekana (kuwa hajatenda).]
[Imepokelewa na Al-Bayhaqi na wengineo. Ni Hadithi Hasan.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.