0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 32 HAKUNA KUDHURIANA WALA KULIPA MADHARA


الحديث الثاني والثلاثون


“لا ضرر ولا ضرار”


“عَنْ أَبِي سَعِيدٍ سَعْدِ بْنِ مَالِكِ بْنِ سِنَانٍ الْخُدْرِيّ أن رسول الله صلى الله عليه وسلم “لاضرر ولا ضرار”

حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ ابْنُ مَاجَهْ  وَالدَّارَقُطْنِيّ ، وَغَيْرُهُمَا مُسْنَدًا. وَرَوَاهُ مَالِكٌ  فِي “الْمُوَطَّإِ” عَنْ عَمْرِو بْنِ يَحْيَى عَنْ أَبِيهِ عَنْ النَّبِيِّ فَأَسْقَطَ أَبَا سَعِيدٍ، وَلَهُ طُرُقٌ يُقَوِّي بَعْضُهَا بَعْضًا


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 32


HAKUNA KUDHURIANA WALA KULIPA MADHARA


Kutoka kwa Abuu Sa’iyd Sa’d bin Maalik bin Sinaan Alkhudriyy Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba Mtume ﷺ na amesema: [Hakuna kudhuriana wala kulipiza madhara.]

[Imesimuliwa na Ibn Maajah, Ad-Daaraqutwniy na wengineo na ina kiwango cha ‘Musnad’. Vile vile imepokelewa na Maalik katika Al-Muwatwaa kama ‘Mursal’. Inayo mtiririko wa mapokezi kutoka kwa ‘Amr bin Yahyaa, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) hata ukimuacha Abuu Sa’iyd bado inayo mtiririko wa mapokezi unayoiunga mkono.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.