0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 34 KUAMRISHA MEMA NA KUKATAZA MABAYA


الحديث الرابع والثلاثون


“من رأى منكم منكرا فليغيره بيده”


عن أبي سعيدٍ الْخُدْرِيِّ رضي الله عنه قال: سمعتُ رسولَ الله صلى الله عليه وسلم يقول

مَنْ رَأَى مِنْكُمْ مُنْكَراً فَلْيُغَيِّرْهُ بِيَدِهِ، فَإنْ لمَْ يَسْتَطِعْ فَبلِسانِهِ، فَإنْ لَمْ يَسْتَطِعْ فَبقَلْبِهِ، وَذَلِكَ أضْعَف اْلإِيمَانِ

رَوَاهُ مُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 34


YEYOTE ATAKAYEONA KITENDO KIOVU AKIONDOE KWA MKONO WAKE


Kutoka kwa Abu Sa’iid Al-Khudhriy Radhi za Allah ziwe juu yake  ambaye amesema : Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: [Yeyote yule atakayeona kitendo kiovu akiondoe (abadilishe) kwa mkono wake, ikiwa hawezi basi kwa ulimi wake (alikemee au kukataza), na ikiwa hawezi basi kwa moyo wake (achukie) na huo ni udhaifu wa Imani.]
[Imepokelewa na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.